Morocco mabingwa Futsal AFCON
MIAMBA ya Atlas Lions ya Morocco imenyakua taji lao la tatu mfululizo la TotalEnergies CAF Futsal AFCON, kufuatia ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya… Read More »Morocco mabingwa Futsal AFCON
MIAMBA ya Atlas Lions ya Morocco imenyakua taji lao la tatu mfululizo la TotalEnergies CAF Futsal AFCON, kufuatia ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya… Read More »Morocco mabingwa Futsal AFCON
KLABU za Esperance ya Tunisia na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini zilijihakikishia nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia la Klabu la FIFA (Mundial de Clubes… Read More »Wababe hawa kucheza Kombe la Dunia la Klabu
MSHAMBULIAJI wa England, Harry Kane, alifunga mabao mawili katika ushindi wa Bayern Munich dhidi ya Eintracht Frankfurt 2-1 na kuweka rekodi mpya ya kibinafsi ya… Read More »Kane azidi kuwasha moto Bundesliga
MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohamed Salah, amesema ikiwa atazungumza “kutakuwa na moto” baada ya kuzozana na meneja Jurgen Klopp kwenye mstari wa mguso wakati wa sare… Read More »Klopp, Salah watibuana Livepool
Kiungo Ousmane Dembele na Kylian Mbappe wote walifunga mabao mawili huku Paris St-Germain ikisogea hatua moja karibu na ubingwa wa ‘Ligue 1’.PSG hata hivyo wanapaswa… Read More »PSG yakaribia Ubingwa ‘Legue 1’
Watall waliokwama katika hifadhi ya Masai mara kutokana na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa wameokolewa. Hoteli, nyumba za wageni na kambi zimejaa maji kutokana na… Read More »Watalii waliokwama kutokana na mafuriko waokoloewa
RAIS wa Kenya, William Ruto amewataka madaktari kusitisha mgomo huku serikali ikijitahidi kutimiza matakwa yao kwadiri ya hali ya kifedha itakavyoruhusu. Katika hotuba yake ya… Read More »Ruto alipigia magoti madaktari Kenya
TURIN, ITALIA MAWAZIRI wa nishati kutoka nchi saba zilizostawi zaidi kiviwanda (G7), walimaliza makutano wao wa siku mbili, ambapo katika miongoni mwa mambo waliyoazimia ni… Read More »Marekani kuhamishia wanajeshi wake Chad
TURIN, ITALIA MAWAZIRI wa nishati kutoka nchi saba zilizostawi zaidi kiviwanda (G7), walimaliza makutano wao wa siku mbili, ambapo katika miongoni mwa mambo waliyoazimia ni… Read More »G7 yaeka kikomo matumizi ya makaa ya mawe
ANKARA, UTURUKI WAZIRI wa mambo ya nje wa Uturuki, Hakan Fidan amesema kuwa nchi itajiunga na Afrika Kusini katika kesi ya kuishitaki Israel kwenye mahakama… Read More »Uturuki kujiunga na Afrika Kusini dhidi ya Israel
GAZA, PALESTINA KUNDI la Hamas la Palestina limesema mazungumzo ya kusimamisha mapigano na Israel yatasitishwa iwapo Israel itaushambulia mji wa Rafah ulioko kusini mwa Ukanda… Read More »Hamas kusitisha mazungumzo iwapo Rafah itashambuliwa
WABUNGE na viongozi mbalimbali wametembelea mabanda ya maonesho yaliyoandaliwa na wizara ya Kilimo yaliyopo katika viwanja vya bunge jijini Dodoma na kutoa maoni yao kuhusu… Read More »Wadau wapongeza ongezeko bajeti ya kilimo